Header Ads

MPYA: MAELEZO UJAZAJI WA DODOSO NDANI YA SIKU 30 KWA WANUFAIKA WA MIKOPO ELIMU YA JUU (KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA.
Wanafunzi wanufaika wa mkopo elimu ya juu.
"hasa wale wanaoendelea na masomo",
kuanzia jumatatu ijayo,tarehe 31/10/2016 kila
 mnufaika anapaswa
 kuingia kwenye akaunti yake binafsi ya HESLB
 ili ajazeDODOSO lililoboreshwa zaidi kwa lengo la
 kuwa na taarifa
 sahihi zaidi zinazoweza kuwa
VERIFIED na vyombovya serikali kuhusu hali ya
 kifedha ya mnufaika.
Baada ya dodoso hilo kujazwa, litahakikiwa na 
ikibainika taarifa ulizotoa ni za uongo basi mnufaika 
ATAPOTEZA SIFA 
ya kupata mkopo wake. 
Pia, kwa yoyote ambaye hatajaza DODOSO hilo pia
 naye ATAPOTEZA sifa ya kuwa mnufaika.
Kwa hiyo ni zoezi la VERIFICATION ya taarifa za kifedha
 za mnufaika.
Muda ukifika Dodoso hilo  litajieleza.
Hivyo,from next Monday every beneficiary has
 to log in to his/her account. 
Ni zoezi la muda wa mwezi mmoja tu na litaisha  mwezi
Novemba,
 hivyo kila mtu afanye hima kujaza dodoso hilo jipya.

Pia unatakiwa kuendelea kuhakiki majina yenu 
kwenye sahihi hapo chini ya video
 (Kuna ya mwaka wa kwanza na wanaoendelea).
 ili kujua kama upo chuo kihalali (kwa sifa na vigezo). 
Zoezi hilo limeanza tayari. - hii ni kwa wanafunzi wote
KUMBUKA ZOEZI NI SIKU 30 TU 

HII HAPA VIDEO YENYE
 MAELEKEZO PIA===>>>

                               BONYEZA HAPA
                               KUONA VIDEO 

TAFADHALI, ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII 
KWA UPDATES ZOTE ZA HABARINITAENDELEA KUKUPA UPDATE ZOTE KUHUSU VYUO 
NA MAMBO YOTE KUHUSU SEKTA YA  ELIMU

CREDIT TO http://kubalyendas.blogspot.com/