Header Ads

Gazeti la kenya lachapisha Katuni inayomdhihaki JPM .


Gazeti moja la nchini Kenya linalojulikana kama The Star Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita dikteta kupitia ukurasa wake wa facebook

Kingazi blog na wadau wengine wa habari  Tunalaani kwa Kitendo hiki Ambacho Hakimtendei Haki Mhe Rais Magufuli