Header Ads

Watumishi Wa umma kutopanda Madaraja bila Kupitia Kozi, Mafunzo Maalum.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Angellah Kairuki akiwa kwenye kituo cha Utumishi Mkoani Mbeya.
Amesisitiza kwamba, utaratibu huo utaanza mapema iwezekanavyo na kuwataka Watumishi wa Umma kufuata utaratibu utakaoainishwa.

Chanzo: ITV

Jamii forums