Header Ads

Siwezi kuhudhuria harusi ya Flora- Mbasha


"Kama nikipewa mualiko kuhudhuria harusi ya Flora kwa sasa, sitakwenda"  hayo ni maneno ya Mbasha akiwa kweye kipindi cha Kikaangoni cha EATV ambapo alijibu hivo kulingana na maswali aliyokuwa akiulizwa na wafuatiliaji wa kipindi hicho.